aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, April 22, 2014

WEMA SEPETU AFUNGUKA:BAADA YA KUTUPIWA MANENO MABAYA INSTAGRAMMMMMH KUMBE WEMA ANANYOODOOOOH!


Wema Sepetu Tena,Inawahusu Waliosema Mabaya Kuhusu Ushindi Wake Wa Sexiest Girl. 
Baada ya Wema Sepetu kushinda Ijumaa Sexiest girl maneno tofauti yanasema kuhusu ushindi huo na fujo alizofanya global, je ilikuwa story ya kutengeneza tu?
Wema ameshindanishwa na mastaa wakubwa Tanzania akiwemo Wolper , Jokate, Lulu, Jackline Wolper na Nelly Kamwelu.
Kupitia Instagram yake Wema ameandika hivi kuhusu baadhi ya comments za watu kuhusu ushindi wake

“If u got it flaunt it….. Ndo nshashinda…. kama hujapenda kasage chupa kunywa…. maana naona sasa its too much khaaaaaaaa….! Ebu mnitue mie mtoto wa watu… And again much love to y’all dat support me… nawapenda sana…. nimemaliza…. Award yangu ndo hiiiiiiiiooooooooo…… next year tusubiri mwingine…. nalala zangu…. tukutane kesho…. najua wengi mnanipenda ni wachache wenye vijiba vyao vya roho…. Wema atabaki kuwa Wema tu… Bhaaaaas….”


 

wemaaaawema 14

No comments:

Post a Comment