aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, April 22, 2014

HAWA NDIYO MISS TANZANIA WALIYOJITOKEZA NA KUJITANGAZA HADHARANI KUWA WANASUMBULIWA NA GONJWA HATARI AMBALO HUWAFANYA WAPATE MAUMIVU MAKALI WAKATI WA HEDHI NA PIA KUWAFANYA WASIWE NA UWEZO WA KUSHIKA MIMBA.

Miss Tanzania wawili, Happiness Millen Magese (2001) na Angela Damas (2002), wamejitokeza na kujitangaza wazi kuwa ni miongoni mwa mamilioni ya wanawake duniani wanaosumbuliwa na tatizo liitwalo ‘endometriosis’ ambalo huwafanya wapate maumivu makali wakati wa hedhi na pia kuwafanya wasiwe na uwezo wa kushika mimba. Tatizo hilo husababisha seli hai zinazounda mji wa mimba kukuwa/kuota nje ya mji wa mimba. “To all the ladies who have to live with the sufferings of endometriosis- May sharing our messages make us realize we are not alone, and may the sharing allow us to look for ways to help us live with less pain,” ameandika Angela Damas.
Ujumbe huo umemvutia, Happiness Magese ambaye naye aliamua kujitangaza wazi kuwa na tatizo hilo na kuanzisha kampeni ya ‘endometriosisafrica’.
“Praying for more women to speak out and share their stories .Wow this made my day ….thank you my darling Angela(Miss Tz 2002) for sharing your story .I feel better that we all finally speak out . Insta fam Angela Damas was actually the next queen after me in Wow this made my day ….thank you my darling Angela(Miss Tz 2002) for sharing your story .I feel better that we all finally speak out . Hi sisters Angela Damas was actually the next queen after me in Tanzania . How would Could one tell this amazing ,smart n beautiful person has this battle # endo power #we can do this together emojiemojiemoji @skinkissedbird we can save one’s happiness n pains. Let’s speak out cc @ladivamillen Tanzania.”
Millen anasema ameshafanyiwa upasuaji mara 12 hadi sasa Wakati wa kutangaza kuwa na tatizo hilo, March 16 mwaka huu, Millen aliandika kwenye Instagram:
It took me 17 years of struggle ,12 surgeries ,blocked Fallopian tubes ,1digestive system surgery,1ovary failure ,1miscarriage and still in pains I don’t know when it will stop.For the help of @ritadominic awareness and padma Lakshimi my friends @funminewyork @byanakusophy @adhiamboml n my family . I’m able to come out today and say this “I wear Yellow for me and all women from all over the world who struggling with Endometriosis . It’s ok to talk about our menstrual pains . You’re all warriors #speak about it #Dont ask for sympathy ,ask for help before it’s too late #March 2014 millions women walk for endometriosis #Dont loose hope. By rising this awareness we could help the cause to be able to give us free or reasonable price which can help all women to afford the treatment.#teamendometriosisafrica#Tanzania.

No comments:

Post a Comment