aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, April 8, 2014

MSANII DUDU BAYA AMKATA SIKIO MAMA YAKE , KUJUA CHANZO TAFADHALI SOMA ZAID HAPA

 
Kupitia U Heard ya leo na Gossip Cop, story ni kuhusu Dudu Baya kumkata skio mama yake mkubw, kwa madai kuwa anamloga ndio maana hafanyi vizuri katika kazi zake za mziki.

Kwa mujibu wa mdogo wake kabisa (baada ya kuzaliwa yeye) amethibitisha kutokeakwa tukio hilo"yah kafanya hivyo,  ni jambo la kusikitisha unajua ni hivyo, lakini sasa ndio hivyo kashafanya, kaenda kule kwa mama mkubwa kamkata skio, sababu haijulikani ni kwasababu gani kaenda kufanya hivyo, hata kama alikuwa na sababu halikuwa jambo la busara kumkata skio"

"nilienda nikamuuliza nani amemkata skio akasema ni mheshimiwa, akadai kwamba alikuwa anamwambia anamloga sijui nini, mambo ambayo hayana hatiaya msingi kwa ujumla, kwasababu hata ukiangalia yeye ni motto wala haumwi chochote wala wala mwanae hawaumwi ni mzima sasa amemroga nini........"

No comments:

Post a Comment