picha tofauti ya Wajerumani wakiwa Uchi mchana kweupe
Hii style ilianzishwa na Mjerumani mmoja tangu mwaka 1920 lakini haikuweza kupitishwa kutokana na Ubanaji wa Sheria miaka ya 90.
Lakini saivi pande za Munich kumekuwa kivutio cha Watalii ambapo watu huenda sehemu iyo ili kukaa Uchi au kuangalia watu wakiwa Uchi..
Watu wakiwa uchi mchana kweupe Munich |
No comments:
Post a Comment