aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, April 12, 2014

JANA TULITOA HABARI KUWA DUDUBAYA AMKATA SIKIO MAMAYAKE.. MAMA MWENYEWE AJITOKEZA KUDHIBITISHA..SASA JIONEE MWENYEWE PICHA HAPA


Siku mbili zilizopita stori mbalimbali kwenye mitandao zilihusu msanii wa longtime kwenye bongofleva aitwae Dudubaya kudaiwa kumkata sikia Mama yake mkubwa kwa kinachosemekana kuwa tuhuma za kichawi lakini siku moja baadae Dudubaya alikanusha kwamba hajamkata bibi yake sikio, yeye sio mtu wa kufanya hicho kitendo. 
Sasa leo Mama mkubwa huyu wa Dudubaya amezungumza na Waandishi wa habari na kuthibitisha kweli kukatwa sikio na Dudubaya ambapo shahidi mwingine aliezungumza ni mjukuu wake
Screen Shot 2014-04-11 at 5.03.37 PMSehemu aliyokatwa imezibwa kwa makusudi.
Screen Shot 2014-04-11 at 5.04.02 PM
Screen Shot 2014-04-11 at 5.03.20 PM
Screen Shot 2014-04-11 at 5.03.14 PM

CREDIT: MILLARDAYO

No comments:

Post a Comment