aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, April 8, 2014

INASIKITISHA:ANGALIA PICHA AKUTWA AMEUAWA ENEO LA AFRICANA-MBEZI JIJINI DAR

 Mwili wa Erick 'Ras Kiduku' kama ulivyokutwa eneo la tukio.
Ufunguo wa Bajaj aliyokuwa akiendesha marehemu Ras Kiduku. 
 
MWILI wa kijana ambaye ni dereva wa Bajaj aliyejulikana kwa jina la Erick maarufu kwa jina la Ras Kiduku umekutwa ukiwa umetupwa eneo la Kilongawima, Africana-Mbezi jijini Dar es Salaam.

Pembeni ya mwili huo, ulikutwa ufunguo wa Bajaj yake ambayo ilikutwa imetelekezwa barabarani jirani na mwili wa marehemu ulipokutwa.

No comments:

Post a Comment