aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, April 7, 2014

PENNY AFUNGUKA....ADAI BADO YUPO SINGLE TANGU AMWAGANE NA DIAMOND, ASEMA AKIPATA MWINGINE LAZIMA KILA MTU AJUE


Mtangazaji wa Runinga ya DTV, Peniel Mungilwa ‘Penny’ amefunguka kuwa siku zote hawezi kudumu katika penzi la siri.

Penny alifunguka hayo alipokuwa akizungumza na  gazeti la Ijumaa kuainisha kuwa tangu amwagane na Diamond (Nasibu Abdul) ambaye kila mtu alikuwa anamjua, bado hajabahatika kuwa na mtu mwingine.
 

“Bado nipo nipo sana na kama ujuavyo, mimi siwezi kuyaficha mapenzi kama  nimepata mpenzi wala haichukui muda kila mtu atajua tu,” alisema Penny.

No comments:

Post a Comment