aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, April 30, 2014

DUUU !! !! RIHANNA APIGA PICHA ZA UCHI KWA AJILI YA JARIDA LA LUI

daaah



sasa kuna kipi ambacho hatujakiona
ktk mwili wa Riri labda


hii kaamua kabisa kutubon'golea


I'm speechless

The love of money is the root of all evil, mmmmmh hapa nimejifunga mdomo kuna watakaosema haaa huko majuu watu hawajali na wapo okay kwa lolote , nitakataa kumbukeni jinsi watu walivyokasirika kumuona Bey aki perform na kile kinguo na yaliyomkuta Kim K ktk vogue kwamba hastahili kuwa ktk cover kwasababu ya tabia zake ukweli ni kwamba katika kila jamii ina yake wanaweza wakawa wana rights za kufanya watakalo but bado jamii ukifanya kituko unaweza ukaonekana wa ajabu sana......

Je wale wataalam wetu wa Insta kutupiamo pics za kuiga Riri watathubutu hivi?? hakuna linaloshindikana chini ya jua arifeee lets wait n see

i do the seeking n you do the judging....

No comments:

Post a Comment