aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, April 15, 2014

NICK MINAJI AUZISHA MWILI WAKE KATIKA TUZO ZA MTV BASE TENA BILA HATA KUVAA CHUPI, KITU LIVE BILA CHENGA, TAZAMA HAPA


Nicki+Minaj+2014+MTV+Movie+Awards+Arrivals+A-wvupcJwV4l 
Nicki Minaj hataki tena kuvaa mawig ya rangi rangi kama zamani na muonekano huo umeonekana kuwavutia wengine. 

Ndio maana kwenye wasichana waliopendeza kwenye red carpet ya tuzo zafilamu za MTV zilizofanyika jana nchini Marekani, Nicki ni mmoja wao. Akiwa na gauni jeusi lililolishika vyema umbo lake la kuvutia, Nicki alikuwa hajavaa kitu muhimu zaidi..

 nguo ya ndani. Hata hivyo kwa muundo wa nguo yenyewe haikuwa rahisi kushtukia hili hasa kama ukimwangalia kwa mbele au nyuma.


Nicki+Minaj+2014+MTV+Movie+Awards+Arrivals+gCK5yW7xsICl 
 NOMA SANAHUYU MTOTO WA KIKE DAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAH!!!!

Nicki+Minaj+2014+MTV+Movie+Awards+Arrivals+mKsBNEnn7v1l