aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Thursday, April 17, 2014

TAARIFA YA TAHADHARI YA MVUA KUBWA KATIKA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA PAMOJA NA MIKOA YA TANGA, PWANI NA DAR ES SALAAM.


Taarifa kwa Umma: Vipindi vya mvua kubwa vinatarajiwa.

Taarifa Na.
201404-02

Muda wa Kutolewa
Saa 10:00 Alasiri

Saa za Afrika Mashariki




Daraja la Taarifa:
Tahadhari

Kuanzia:
17
Aprili, 2014

Tarehe




Mpaka:
18
Aprili, 2014

Tarehe




Aina ya Tukio Linalotarajiwa
Vipindi vya mvua kubwa inayozidi milimita 50 ndani ya saa 24,

ukanda wa pwani.






Kiwango cha uhakika:
Wastani (70%)




Maeneo yanayotarajiwa
Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na mikoa ya Tanga, Pwani na

kuathirika
Dar es Salaam.





Kuimarika kwa ukanda wa mvua Inter-tropical convergence zone

Maelezo:
(ITCZ)” ambao umeambatana na ongezeko la unyevunyevu na


kuwepo kwa ‘Easterly Wave’.





Wakazi wa maeneo hatarishi, watumiaji wa Bahari pamoja na

Angalizo:
mamlaka zinazohusika na maafa, wanashauriwa kuchukua tahadhari


stahiki.

Maelezo ya Ziada
Mamlaka ya Hali ya Hewa inaendelea kufuatilia hali hii na itatoa

mrejeo kila itakapobidi.


Imetolewa na

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania.

No comments:

Post a Comment