aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, April 22, 2014

MAPICHA:FUNDI UJENZI AFARIKI DUNIA BAADA YA KUPOKEA KIPIGO NA KUCHOMWA MOTO NA WANANCHI KAHAMA

Ramadhani Majaliwa Mara baada ya kufikishwa katika hospitali ya Wilaya ya Kahama
Madirisha yanayodaiwa kuibwa na Majaliwa
Mtu mmoja Ramadhan Majaliwa mkazi wa Majengo wilayani Kahama mkoani Shinyanga ambaye ni fundi nyumba amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu hospitalini baada ya kupigwa na kisha kuchomwa moto na wananchi kwa kutuhuma za kuiba madirisha ya Nondo.

Kwa mjibu wa mwenyekiti wa Mtaa wa Majengo Noel Mseven tukio hilo limetokea leo majira ya saa 11 alfajiri ambapo mtuhumiwa alivunja madirisha hayo katika nyumba inayoendelea kujengwa na baadhi ya watu kumuona. 

Amesema wanachi walianza kumfuatilia na walipomkamata alianza kukimbia ndipo wananchi hao wakapiga kelele na kusababisha kumkamata na kuanza kumrushia mawe kisha kumchoma moto kwa mafuta ya Petroli ambayo yalipatikana katika pikipiki.

Mseveni amesema mtuhumiwa huyo alijirusha kwenye mtaro wa maji na moto huo ukazima na kwamba ilipigwa simu kwa jeshi la polisi wilayani Humo ambao walifika eneo la tukio na kumpeleka katika hospitali ya wilaya ya Kahama.

Akiongea kwa shida katika hospitali ya hiyo Mtuhumiwa huyo alisema alipigiwa simu na dada mmoja aliyemtaja kwa jina moja la Manka kwamba afuate mzigo huo ili ampelekee na ghafla wananchi walimzingira na kuanza kimpiga na kumchoma moto.
Marehemu Majaliwa akiwa hoi hospitalini kabla ya kufariki dunia
Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana zinasema kuwa Majaliwa alifariki dunia muda mchache badae wakati akipatiwa matibabu hospitalini hapo kutokana na kuungua vibaya sehemu mbalimbali za mwili wake. 
  Hata hivyo mmiliki wa Nyumba iliyobomolewa madirisha hayo bado hajajulikana kutokana na kuwa bado inaendelea kujengwa.

Jeshi la polisi wilayani Kahama limethibitisha kutokea kwa tukio hilo na linaendelea na uchunguzi zaidi. 

- See more at: http://www.farajimfinanga.com/2014/04/kahama-balaa-fundi-ujenzi-afariki-dunia.html#sthash.whfgBcRe.dpuf

- See more at: http://www.farajimfinanga.com/2014/04/kahama-balaa-fundi-ujenzi-afariki-dunia.html#sthash.whfgBcRe.dpufMadirisha yanayodaiwa kuibwa na Majaliwa.

Mwanamme mmoja aliyejulikana kwa jina la Ramadhan Majaliwa mkazi wa Majengo mjini Kahama mkoani Shinyanga ambaye ni fundi nyumba amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya wilaya ya Kahama baada ya kupigwa na kisha kuchomwa moto na wananchi kwa tuhuma za kuiba madirisha ya nondo. 

Amesema wanachi walianza kumfuatilia na walipomkamata alianza kukimbia ndipo wananchi hao wakapiga kelele na kusababisha kumkamata na kuanza kumrushia mawe kisha kumchoma moto kwa mafuta ya Petroli ambayo yalipatikana katika pikipiki. 

Kwa mujibu wa mwenyekiti wa Mtaa wa Majengo Noel Mseven tukio hilo limetokea leo majira ya saa 11 alfajiri ambapo mtuhumiwa alivunja madirisha hayo katika nyumba inayoendelea kujengwa na baadhi ya watu kumuona. 

Mseveni amesema mtuhumiwa huyo alijirusha kwenye mtaro wa maji na moto huo ukazima na kwamba ilipigwa simu kwa jeshi la polisi ambao walifika eneo la tukio na kumpeleka katika hospitali ya wilaya ya Kahama. 

Akiongea kwa shida katika hospitali ya hiyo kabla ya kifo chake mtuhumiwa huyo alisema alipigiwa simu na dada mmoja aliyemtaja kwa jina moja la Manka kwamba afuate mzigo huo ili ampelekee na ghafla wananchi walimzingira na kuanza kumpiga na kumchoma moto.
 
Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana zinasema kuwa Majaliwa alifariki dunia muda mchache badae wakati akipatiwa matibabu hospitalini hapo kutokana na kuungua vibaya sehemu mbalimbali za mwili wake.  

Hata hivyo mmiliki wa Nyumba iliyobomolewa madirisha hayo bado hajajulikana kutokana na kuwa bado inaendelea kujengwa. Jeshi la polisi wilayani Kahama limethibitisha kutokea kwa tukio hilo na linaendelea na uchunguzi zaidi.