aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, April 7, 2014

KAULI YA NEY KUHUSU MKE WAKE MTARAJIWA:BAADA YA MCHUMBA WA NEY WA MITEGO KUSADIKIKA AMECHUMBIWA NA PEDESHEE PICHA KUSAMBAA

  
Kuna baadhi ya mitandao imepost na kuandika habari kuwa mchumba wake msanii wa kizazi kipya anetamba na kibao chake NASEMA NAO na MUZIKI GANI ame chumbiwa na mwanaume mwingie. Katika kukanusha uvumi huo msanii huyo amepost picha ifuatayo Instagram na kuandika ujumbe chini yake unao dhihirsha mapenzi yake kwa mchumba wake huyo.


No comments:

Post a Comment