aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, April 13, 2014

VIDEO:UCHAFU UNAOFANYWA NA WACHEZA VIGODORO...SEREKALI HAMJALIONA HILI ?



Jamani hii inatia hadi kinyaaaa.....Hivi Kweli Watanzania tumefikia Kiasi Hichi ...Nilikuwa sijawahi ona Video za Vigodoro nilikuwa nasikia tu juu kwa juu ila hii Video Imenionesha nini Huwa kinafanyika huko kwenye Vigodoro....Serekali Hamjaliona hili ? Mbona Sijasikia Ikipigwa marufuku ..Hii ni sawa na Wale wacheza Uchi wa kwenye Clubs Kule Ulaya...
Bofya Hapa UCHAFU WA VIGODORO kujionea ...Na utoe Maoni yako

No comments:

Post a Comment