aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, April 23, 2014

MAISHA MAGUMU YASABABISHA AKINA MAMA KUENDELEA KUTENGENEZA POMBE YA GONGO SIMIYU.

 
 Mmoja wa akina Mama akiwa katika Kutengeneza pombe hiyo isiyo Rasmi, huko Simiyu
 Hawa ni Baadhi ya watu wakiwa katika mtambo huo Kijijini Simiyu

Baadhi ya akina Mama wameamua kutengeneza Pombe Haramu ya Gongo wakidai kuwa wanafanya hivyo kutokana na hali Ngumu ya Maisha, wakizungumza kwa nyakati tofauti wamesema kwamba kumekuwa na maisha magumu hali iliyosababisha wajihusishe na bishara hiyo na kudai kwamba ndio njia pekee inayo wapatia Kipato zaidi.

Hata hivyo Juhudi zinaendelea kufanyika ili kukutana na wahusika zaidi wanaoishi eneo hilo kujua kama kweli wapo sawa na pombe hiyo kuuzwa katika maeneo hayo.