aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, April 19, 2014

KAJALA: NINA MACHOZI YA KARIBU

STAA wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’ amefunguka kuwa machozi yake huwa yapo karibu hivyo ukimuudhi kidogo tu lazimaalie. 
Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’
Akipiga stori mbili-tatu na Bongowood, Kajala alisema: “Machozi yangu yapo karibu sana sijui kwa nini huwa nashindwa sana kujizuia yaani mtu akinikorofisha kidogo tu lazima nitoe machozi ndipo hasira zitulie.”