aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, April 30, 2014

HILI NDILO KAVA TATA LA WIMBO MPYA WA CYRIL KAMIKAZE AMBALO LIMEKUWA GUMZO, LICHEKI HAPACyril Kamikaze
Rapper wa kundi la Wakacha, Cyril Kamikaze anatarajia kuachia single yake mpya iitwayo ‘Alowa’. Katika kunogesha ujio wake mpya, rapper huyo mwenye asili ya Singida ametease picha ya kava ya single hiyo yenye utata. 

Ni shidaaKatika picha hiyo, Cyril anaonekana akiwa amelala katika ya miguu ya msichana mwenye assets kubwa kama za Masogange.