aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, April 20, 2014

NIMENOGEWA..BIASHARA YA KUJIUZA IMENIFANYA NIWE TEJA..!SOMA KILIO CHA MSOMI HUYU WA UDSM..!

 
Admin Hide My Name...Mimi ni Msichana wa Miaka 22 Niko Chuo Kikuu Hapa Mlimani Dar es Salaam , Nipo Mwaka wa Pili sasa ...Mimi ni Mzuri kwa Umbo na Sura kiasi kwamba nimekuwa nikitafutwa na watu wenye Pesa zao nikawape kampani hasa wafanya biashara wa ndani na wa nje na siku moja moja wanasiasa. 
Toka mwaka wa Kwanza nafanya hii Biashara kwa usiku mmoja bei yangu huwa ni milion moja na saa zingine nikitoa huduma nzuri napewa zaidi ya hiyo ....huwezi amini mpka sasa kwenye account yangu nina zaidi ya Milion 80 na nyumba tayari nimeshajenga.. 
Hapa najiandaa kwenda Nigeria Nimealikwa na Msanii mkubwa wa Huko Baada ya Kumpa Huduma nzuri alipokuwa Tanzania....Eti anataka Tena...Mimi sio malaya na wala sijiuzi mtaani ila wananitafuta wenyewe kwa uzuri niliyo nao ..
Biashara imechanganyia sasa naona shule inanishinda hata assignment siku hizi sifanyi nalipa watu wanifanyie hivyo nafikiria kuacha chuo niwekeze katika mambo mengine..Kwa hela niliyonayo naweza fungua Biashara yoyote sasa....Ushauri Tafadhali 

No comments:

Post a Comment