aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, April 19, 2014

SIRI IMEFICHUKA..!! KUMBE ZILE MILIONI 13 ALIZOTOA WEMA KWA AJILI YA KAJALA HAZIKUWA ZA WEMA, HUYU NDIYO MUHUSIKA WA KUTOA PESA HIZO

Siri zimezidi kuvuja juu ya uhasama baina ya mastaa wawili wa kikebongo. Miss tanzania 2006. Wema sepetu na kajala masanja. Ambapo inaelezwa kuwa kiasi cha pesa sh.mil 13. Ambazo wema alimlipia kajala kumuokoa na hukumu ya kwenda jela katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu dar hazikuwa zake.

kwa mujibu wa watu wa karibu na mastar hao Wema hakuwa na jeuri ya kutoa fedha hizo ndio maana familia ya mrembo huyo ilionyesha mshtuko mkubwa kwa binti yao kutoa pesa za bure kwa mtu baki kama kajala.
Habari zaidi zimesema kwamba kabla wema hajatoa pesa hizo alimpigia simu mfadhili huyo na kumueleza kilichokuwa kinaendelea mahakamani hapo ambapo aliruhusu pesa kutolewa.


kama pesa hiyo ingetoka mfukoni mwa wema basi familia yake akiwemo mamake asingeweza kumwacha bila kumuhoji bint yake.lakini mama wema alieleweshwa hali ilivyo na ndio maana akatulia.pesa ilitolewa na kigogo huyo ambaye sasa anatoka na kajala.
Aidha mtoa habari huyo alidai kwamba kabla ya wema kumsaidia Kajala mil.13 hakuwahi kutoa msaada wowote wa kifedha zaidi ya kula ubwabwa na watoto yatima.


Sani iliwahi kumpa taarifa wema kwamba kulikuwa na mama anayehitaji msaada wa laki moja kutokana na matatizo aliyokuwa nayo alijibu kwamba yeye sio serikali na kumsaidia Kajala kusiwafanye watu wamuone kama taasisi ya kutoa misaada.


Taarifa zaidi zimedai kwamba kutokana na tabia za mastaa zilivyo isingekuwa rahisi kwa Wema kutoa hata senti tano yake!
Naamini kwa hali ya mastaa ilivyo Wema kama wema asingeweza kutoa hata sh. Mia ili kumtoa kajala.Nyuma ya kesi ya kajala kulikuwa na huyo kigogo ambaye hivi sasa pesa zake zote anammwagia kajala.mambo yamegeuka ndivyo sivyo!” alisema.


Vyanzo vyetu hivyo vilitoa mfano wa msanii mwingine jack wolper ambaye alimpa msaada wa mil.10 aliyekuwa nyota wa filam Juma kilowoko au Sajuki kwa ajili ya matibabu na kudai hazikuwa zake , Wolper hakuwa na uwezo huo pesa zilikuwa za Dallas ambaye alimtumia Wolper kama kama bahsha kuufikisha mchango wake. Kiliongea chanzo hicho.
Mwandishi ni Christopher Lissa.

No comments:

Post a Comment