aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, December 31, 2013

POMBE SI CHAI,ANGALIA PICHA ZA JAMAA ILIVYOMFANYA..AIBU TUPU



Wakazi wa Dar es Salaam pamoja na wahudumu wa bar ya Bulls park wakimuangalia kijana ambaye jina halikufahamika akiwa amelala chini baada ya kuzidiwa na pombe.Kijana mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja alijikuta akianguka na kutokwa na povu mdomoni kwa kile kinachosemekana kwamba alizidiwa na pombe.

Nkurlu Exclusive ilifika mda mchache eneo la tukio na kushuhudia kijana huyo akiwa amelala chini pasipo kujiweza. Wasamaria walionekana kujaribu kumwagia maji ili aweze kurudi katika fahamu zake pasipo mafanikio. Kama baada ya dakika 10 alitokea kijana mmoja na kukiri kuwa ndiye aliyekuwa akistarehe nae, alieleza hali halisi na kusema kabla ya kuanza kunywa pombe kijana mwenzake alipata mlo wa nguvu tuu kisha ndo wakaanza kushusha mbili tatu. Alisema wakati wakuondoka alimkabidhi kwa dereva bajaji mmoja ila hakufanikiwa kupanda ile Bajaj na kukuta amedondoka.
Kijana huyo pia alisema kuwa kijana mwenzake alikuwa ni mwenyeji wa Mwanza na alikuja Dar es Salaam maalumkwa ajili ya kujirusha na nayeye na ndipo akakutwa na huo mkasa.




 
 Rafiki yake na kijana aliyendondoka(mwenye t-shirt nyeupe kushoto) akijaribu kuwasiliana na ndugu wa mwenzake.

                            *Wadau tujifunze kunywa pombe bila kupita kiasi maana ni hatari*

RECORD...HUYU NDIYE DADA ANAYETOKA MACHOZI NA JASHO LA DAMU.ANGALIA PICHA NA STORY YAKE




Miaka minne iliyopita msichana huyu mwenye umri wa miaka 19, Delfina Cedeno, alianza kupata tatizo hili la ajabu, lililokuwa likimfanya alie na kutoka jasho la damu. Kwa kuongeza zaidi, wakati mwengine damu zimekuwa zikitoka hata kwenye kucha na kitovu.







Hali hii ilipomuanza, alianza kwa kulia machozi mekundu, kutokwa na damu puani na kunyunyukwa nywele kichwani.

Hali ilipokuwa mbaya, alikuwa akienda hedhi kwa siku 15 mpaka ikafika kipindi alihitaji kuongezwa damu kutokana na hali hiyo iliyokuwa ngumu. Licha ya vipmo vingi alivyofanya, madaktari wa mji wake wa Veron, kwenye Jamhuri ya Dominica, walishindwa  kumsaidia.

Cedeno alisema: 'Hali hii ilipoanza kwangu sikuwa najua nini cha kufikiri - nilishtushwa na kuogopa.

Anasema alijisikia vibaya kutokana na hali aliyokuwa nayo mpaka ikambidi aondoke nyumbani kwao alipokuwa akiishi na mama yake aitwaye Mariana, 36.

Aliacha shule huku marafiki zake wengi wakimtenga kutokana na hali hiyo wakihofu kupata maambukizo au usumbufu kutokana na hali yake.

'Nilitengwa, ila Mungu mkubwa. Kwa sasa najisikia poa maana baada ya muda mrefu nimeanza kujisikia vizuri.'

Miezi michache baadae alifanikiwa kupata boyfriend, Recaris Avila, ambaye alimtembelea hospitali mara baada ya kusikia stori yake.





Sasa, miaka minne baada yote kuanza, madaktari wa wamefanikiwa kutatua tatizo lake.

 


KUNDI LA KHANGA MOJA LAPIGWA MARUFU KUKANYAGA MKOANI BUKOBA, WAAMBIWA WAKITIA PUA ZAO HUKO WATACHOMWA MOTO!


Kundi la Khanga Moja la Jijini Dar limepigwa marufuku kukanyaga Mkoani Bukoba kutokana na vitendo vya kifuska walivyovifanya huko. Kwa mujibu mwananchi mmoja aliyejitambulisha kwa jina Rubangila aliimbia Xdeejayz kuwa kundi hilo limeacha laana kubwa sana mkoani humo kiasi cha kutia kinyaa hivyo wananchi mbalimbali wamesema kuwa hata siku moja wasithubutu kutia pua zao kwenye ardhi hiyo la sivyo watachomwa moto kisa aina wanayotumia kucheza.

PREZZO AMJIBU JAGUAR KWA KUTUONYESHA GARI LAKE JIPYA LENYE THAMANI KUBWA



Unaambiwa wiki moja baada ya staa wa muziki Kenya (Jaguar) kuonyesha gari lake jipya aina ya Jaguar ambalo alionekana nalo alipokwenda kufanya show, zimetoka picha za nje ndani za gari analotembelea rapper CMB Prezzo wa Kenya ambae mara kadhaa waliingia kwenye headlines na Jaguar kwa malumbano mbalimbali ikiwemo kutambiana muziki, mali na uwezo wa kifedha. Gari la Jaguar lenye thamani ya shilingi Milioni 16 za Kenya ambalo liko mwisho wa hii post, aliiingia nalo kwenye uwanja pembeni kabisa ya jukwaa alipokwenda kufanya show ambapo alishuka kwenye gari wakati time yake ya kupanda jukwaani ilipofika, alikua kalipaki karibu kabisa na ngazi za kupandia jukwaani.

Hili ndio Gari ya Jaguar

HURUMA:Msanii Geez Mabovu sasa yupo hoi kitandani...!


Geez Mabovu mtoto wa Doll South yuko katika hali mbaya kiafya na amelazwa katika hospitali ya mkoa wa Iringa baada ya kuzidiwa ghafla wakati akisubiri kufanya show mjini humo akiwa na Jan B na Songa. Songa ameandika kwenye ukurasa wake wa facebook kuwaopa taarifa fans wa Mabovu na kuwaomba waendelee kumuombea. “ASANTENI SANA IRINGA,SIKUTEGEMEA MNAPENDA HIP HOP KIASI KILE...MLITISHA SANA. ILA KUNA HABARI MBAYA NDUGU YETU GEEZ MABOVU HALI YAKE SIO NZURI AMELAZWA,NAOMBA TUMUOMBEE ARUDI KATIKA HALI YAKE YA KAWAIDA. ASANTENI
  Geez Mabovu alazwa katika hospitali ya mkoa wa Iringa, tumuombee apone haraka

Songa ameueleza mtandao wa Bongo5 kuwa Mabovu alizidiwa ghafla kabla ya show na akapelekwa hospitali ya mkoa. Mapema jana ,Geez Mabovu aliongea na tovuti ya Times Fm na kueleza kuwa alienda nyumbani kwao Iringa ambapo alikuwa hajaenda kwa muda mrefu na kwamba alienda kusherehekea siku yake ya kuzaliwa (December 25) na familia yake. Rapper huyo aliongeza kuwa ameamua kuacha kutumia pombe kuanzia January Mosi mwakani kutokana na kutaka kufanya mabadiliko zaidi katika maisha yake. Tumuombee Geez Mabovu apate nafuu na apone haraka.

Monday, December 30, 2013

Thomas Ulimwengu noma, amwaga manoti ukumbini


 
 
Mshambuliaji wa TP Mazembe ya DR Congo, Thomas Ulimwengu akigawa manoti.
Na Issa Mnally
MSHAMBULIAJI wa TP Mazembe ya DR Congo alionyesha kweli maisha yake sasa ni ya juu baada ya kumwaga fedha kwa wanamuziki wa bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’.

Ulimwengu alifanya hivyo kwenye shoo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Taifa wa Burudani wa Dar Live, Mbagala-Zakhem, jijini Dar siku ya Boxing Day.
Mshambuliaji huyo wa kutegemewa wa TP Mazembe na Taifa Stars, aliingia ukumbini hapo Saa 4:45 usiku na kuwa kivutio kwa wapenda soka waliokuwa ukumbini.
Makeke ya mchezaji huyo yalianza pale ulipopigwa wimbo wa ‘Mtu Pesa’ kwani aliinuka kutoka katika kiti ambacho alikuwa amekalia na kuteremka ngazi haraka na kukimbilia jukwaani huku akiwa amekamata  pochi mkononi kisha kuwavaa wanamuziki hao na kuwamwagia noti nyekundu tu yaani ‘minoti’.
Ilionyesha kuwa  wimbo huo wa ‘Mtu Pesa’ uliotungwa na Banza Stone ambaye kwa sasa anaitumikia bendi ya Extra Bongo ulimkuna sana mwanasoka huyo wa kimataifa.  

Mbali ya wimbo huo wa Mtu Pesa nyimbo nyingine ambazo zilionekana kumkuna mwanasoka huyo na kushindwa kutulia katika kiti na kucheza ni ‘Jirani’, ‘Mtaa wa kwanza’, ‘Mwana Dar es Salaam’ na ‘Kisa cha Mpemba’.
-GPL 

NI KWELI WANAUME WANAPENDA WANAWAKE WENYE CHUCHU SAA SITA...?? SOMA HAPA.



Sina hakika ni kwanini wenzetu (wanaume) wanapenda Matiti wakati sisi (wanauwake) ndio tunaonyegeka ikiwa yatafanyiwa "kazi" vizuri na kwa utaalam. Ukiachilia mbali hilo, matiti hutufanya tuhisi kuwa ni "wanawake" pia ni Mwanzo mzuri wa maisha ya mtoto).

Nakumbuka mara ya kwanza kuvaa Sidiria ilikuwa 2003, sikuwa nahitaji lakini nilidhani kuwa


kuvaa Sidilia ndio "uanamke", basi nikaenda kupima size ya Matiti ili kupata "Bra" itakayonitosha vema. Wahudumu wakanishangaa na kusema kuwa ninge-save pesa nyingi kwa kutovaa "Bra" kwani sihitaji, lakini kwa vile nilitaka kujihisi kuwa ni mwanamke nilisisitiza kupata "Bra" yangu ya kwanza....TMI i know, sorry hihihihi....
Katika hali halisi hakuna Mwanaume anaependa kukutana na mwanamke ambae matiti tayari yapo tumboni (inategemea na ukubwa), hiyo haimfanyi mwanaume huyo kuchukia matiti yaliyoanguka ila angependa yaanguke akiwa Mkewe na sababu  iwe ni kunyonyesha watoto wao.
Hebu badilishakibao wewe ndio uwe mwanaume etii....alafu unakutana na na titi zipo tumboni, hapo hajanyonyesha/Zaa, utakuwa hujui raha ya  matiti yaliyosimama na pengine siku moja ungependa kupata uzoefu huo....Hebu fikiri.



Kwa bahati mbaya wanawake wengi kwenye jamii rejea topic ya Jinsi ya kutunza, wengi hujiachia tu kipindi ambacho matiti hayo yanahitaji "support". Hakika Matiti kuanguka ni kutokana na kunyonyesha watoto wa Mumeo, lakini kumbuka kuwa sio Wanawake wote wenye matiti yaliyoanguka wamenyonyesha, Wamezaa, Wametoa mimba au wanawaume/wapenzi....kwamba matiti yao yalianguka kitambo kabla hawajanyonyesha kutokana na kutoyatunza vema.


Ikiwa mumeo alikukuta ukiwa na matiti Saa sita bila shaka ataendelea kuyapenda akijua kuwa wanae waliyatumia "early days of their lives", obviously atakuwa amekubali mabadiliko uyapatayo kutokana na Uzazi....lakini at least aliyakuta Wima na yeye ndio kachangia yatazame Chini (baada ya kunyonyesha watoto).


Ukweli wenye maumivu ni kuwa, Asilimia kubwa ya wanaume wangependa matiti ya wake zao au wapenzi wao yadondoke wakiwa nao na sio wayakute yakiwa hivyo (matiti yamedondoka). Hali inayofanya wengi wao kuzungumzia u-wima wa matiti na kucheka au kubatiza yale yaliyolala kuwa ni Malapa.


Mimi binafsi huwa sipendezwi na hilo na siku zote huwa nasema kabla hujamcheka mwanamke mwenye matiti yaliyolala hakikisha wanawake kwenye familia yako bado matiti yao yapo wima na muhimu kabisa ni je Matiti ya mama yako uliyonyonya bado yamesimama(saa sita)?


Ikiwa kwa bahati mbaya wewe ulichelewa ama ulikuwa hujui namna ya kutunza matiti wakati yananza kujitokeza hakikisha Wanao wa kike wanajua(wafundishe), pia hakikisha unayapa "support" yakutosha unapofanya Mazoezi, Unapo karibia hedhi, unapokuwa Hedhini, utakapo kuwa Mjamzito na wakati unanyonyesha.
 

MARTIN KADINDA AFUNGUKA BAADA YA ULE UJUMBE WA JACK CLIFF WA WOSIA KUSAMBAA MTANDAONI, NA HIKI NDICHO ALICHOKISEMA

Mbunifu wa mavazi nchini, Martin Kadinda anayedaiwa kuwa meneja wa zamani wa Jackie Cliff amesema hajapokea ujumbe wowote kutoka kwa mwanadada huyo anayeshikiliwa kwa tuhuma za madawa ya kulevya huko Macao, China alipokuwa akitokea nchini Thailand.
                                                      Martin Kadinda na Jackie
Ujumbe ambao ulizaniwa umetumwa na Jack baada ya kupata matatizo.
Ujumbe ulidhaniwa umetumwa na Jackie kwenda kwa Martin baada ya kukamatwa 
Martin ameiambia tovuti hii  kuwa ujumbe uliosambaa katika mitandao, uliandikwa na Jackie mwaka 2010 ambapo alikuwa akimaanisha mambo yaliyokuwa ‘personal’ zaidi.
kc
“Ujumbe uliosambaa ni wa Jackie kweli ila ni wasi kunyingi sana mwaka 2010. Kwahiyo watu walivyoona unafanana na tukio hili wakaona waambatanishe. Nakumbuka ujumbe huu aliuandika sio kwa tukio kama hili yalikuwa ni mambo ya personal,” amesema Martin.
Martin akiwa na Jack
Martin akiwa na Jack
Hata hivyo Martin amesema hawezi kuzungumzia suala la Jackie kukamatwa na dawa za kulevya kwakuwa yeye siyo msemaji.
Jackie Clifford FitzPatrick alikamatwa na madawa ya kulevya Dec 19 mwaka huu akitokea Thailand kwenda Macao alikokamatiwa huku wenzake wawili, Mtanzania na Mnaijeria wakikimbia.

BASI JIPYA LA AZAM LAWASILI...KAMA LA KLABU KUBWA ZA ULAYA



Hakuna Afrika nzima; Basi jipya la wachezaji wa klabu ya Azam FC ya Dar es Salaam, lililowasili nchini juzi likiwa tayari kusafirishwa visiwani Zanzibar ambako timu hiyo imekwenda kushiriki Kombe la Mapinduzi. Hili ni aina ya mabasi ambayo yanatumiwa na klabu za Ulaya kama Manchester United, Bayen Munich na Barcelona ambalo kwa Afrika Azam inaweza kuwa klabu ya kwanza kulimiliki.
Kitu cha maana
Kila siti ina TV
Kuna friji

Kuna choo

SIRI YAFICHUKA..KUMBE AGNESS MASOGANGE ANAMWIGA MWANADADA SHAY KWENYE STAILI ZA MAVAZI..!!!!TAZAMA MAPICHA YAKE 13 HAPA


 PHOTOSHOW- Model Mika Shay
Mika Shay
Mika Shay eewMika Shay treMika Shay 54Mika Shay r4Mika Shay tttMika Shay 55Mika Shay 5Mika Shay

Model Mika Shay

MSANII SENGA ATADATISHWA NA MZIGO WA AGNESS MASOGANGE ALIOJAALIWA,CHEKI MAPICHA MWENYEWE


http://distilleryimage6.ak.instagram.com/39c3b4a870c311e387350e22d49cfb46_7.jpghttp://distilleryimage2.ak.instagram.com/257628ec70c211e3be040e37929c2f0e_7.jpg


  http://distilleryimage2.ak.instagram.com/b5f3da2270a411e3b0fe1213113368a2_7.jpg 

http://distilleryimage1.ak.instagram.com/b8df1ab270a411e3ae0e12ea8b4c068d_7.jpg 

 http://distilleryimage8.ak.instagram.com/fee47aee70a311e3958f12eb3ce597d4_7.jpgMwigizaji mkongwe nchini Ulimboka Mwakilasa al-maarufu kama “Senga” alishindwa amenaswa laivu na kamera ya mdau mmoja akishangaa laivu mzigo (wowowo) la mwanadada Agness Masogange wakati wakishoot filamu mpya ya mwanadada Nisha ambayo mwigizaji huyo ameshirikishwa. Tazama picha.

Saturday, December 28, 2013

ILE VIDEO YA AGNESS MASOGANGE NA NISHER WAKISHINDANA KUONESHA MAKALIO HII HAPA,ITAZAME UJIONEE

Duh si mchezo hawa masupastaa wa kibongo wakikosa kazi za kufanya wanakuwa na vituko sana niaje.....Video hizi zinawaonesha Agness Gerald "Masogange Nisher wakikata mauno...HATARI SANA

 
VIDEO YA HATARI ZA MASOGANGEFINEASS

VIDEO YA NISHERBEBE

KAULI YA BABY MADAHA KUWA DIAMOND ANATUMIA WASICHANA MAARUFU KUPATA KICK YATIMIA


VIJANA watatu wa familia moja ya  Felipe Ramirez, wamepata balaa kubwa baada ya kuota matiti yaliyosababisha kuchekwa na vijana wenzao waliokuwa wakiwaona kuwa ni mashoga.

Vijana hao kutoka katika Jamhuri ya Dominica ni  Yeuri (17 ), Gabriel (11) na  Daniu Ramírez  (12),  hata hivyo, kwa sasa wanaishi kwa amani baada ya kufanyiwa upasuaji na kuondolewa matiti hayo. 
 
Baba yao mzazi, Felipe Ramirez alifanya jitihada ya kuomba msaada kupitia televisheni na magazeti ili wanawe wafanyiwe upasuaji kwani walikuwa wakiishi katika mateso kwenye jamii yao. 
Baada ya kuomba msaada, Mkurugenzi wa Hospitali ya  Marcelino Velez Santana nchini humo, Dokta  Pedro Antonio Delgado aliamua kuwalipia gharama za upasuaji ambao ulichukua saa mbili. 

Ramirez, alisema: “Wakati wanaingizwa katika chumba cha upasuaji nilikosa raha kwa kuhofia kama watatoka salama nao waliogopa lakini baada ya kutoka, wote tumefurahi sana.”