aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, April 9, 2014

KESI DHIDI YA WANAJESHI 27 WA ZAMANI WA KENYA AMBAO WALITOROKA JESHINI ILI KUJIUNGA NA KAMPUNI ZA ULINZI NCHINI MAREKANI YAANZA KUSIKILIZWA


Kesi dhidi ya Wanajeshi 27 wa zamani wa Kenya ambao walitoroka jeshini ili kujiunga na kampuni za ulinzi nchini Marekani imeanza kusikilizwa  katika kambi ya kijeshi ya Mtongwe Mombasa 
 
Wanajeshi hawa wote walikua wakilitumikia jeshi la Kenya nchini Iraq,Afghanistan na Kuwait kati ya mwaka 2007 na 2008 na iwapo watapatikana na hatia wanaweza kufungwa jela kwa miaka miwili bila kupata nafasi ya kutozwa faini.
 

Inaaminika kilichowashawishi kuiacha kazi ya Serikali ni malipo makubwa pamoja na maisha yenye unafuu nchini Marekani.

No comments:

Post a Comment