aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, March 31, 2014

MR NICE ABONDWA KWA MARA NYINGINE,SOMA MKASA MZIMA HAPA

Mwanzilishi wa staili ya Takeu kwenye Bongo Fleva, Nice Lucas Mkenda ‘Mr Nice’.

Ooh! Noo! Mwanzilishi wa staili ya Takeu kwenye Bongo Fleva, Nice Lucas Mkenda ‘Mr Nice’ amebondwa kwa mara nyingine na kusababishiwa majeraha makubwa mwilini, Ijumaa Wikienda lina kisa cha kusikitisha. 
Habari za uhakika zilieleza kwamba tukio hilo lilijiri maeneo ya Sinza Afrika-Sana, Dar katika Klabu yaAmbiance.

Kikizungumza na Ijumaa Wikienda, chanzo makini cha habari ambacho kilishuhudia tukio hilo, kilisema kuwa Nice alikuwa maeneo hayo akifanya yake katika kipengele cha moja moto na moja baridi, ndipo akaanza kumshobokea demu wa jamaa aliyekuwa meza ya jirani.

Shuhuda huyo alidai kwamba baada ya Nice kukolea maji, alianza kumsarandia mwanamke huyo aliyekuwa na midume kadhaa wakifanya yao.

Hata hivyo, ilisemekana kwamba Nice alitaka kutumia ustaa wake kunyang’anya demu ndipo mwenye mwanamke wake akahisi kudhalilishwa.

Ilidaiwa kuwa kilichofuata ni kwamba yule jamaa akishirikiana na washkaji zake walimshushia Nice kipigo cha shetani hadi akapoteza fahamu kisha wakaingia mitini.

“Aisee jamaa walimpa kipigo cha hatari utadhani wanaua mwizi kisha wakatimua zao.

“Ndipo watu wakaanza kumpa msaada lakini alikuwa tayari ameumizwa vibaya.

“Kiukweli jamaa walidhamiria vibaya, sijui walitaka kumuua maana hadi watu wanashtuka tayari Nice alikuwa nyang’anyang’a kwa kipigo hicho cha kutisha.

“Kilichofuata ilikuwa ni kukimbizwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar kwa ajili ya matibabu,” kilisema chanzo hicho. Baada ya kupata taarifa hizo, Ijumaa Wikienda lilifika hospitalini hapo ili kutaka kujihakikishia kile kisemwacho ambapo wanahabari wetu waliambiwa kuwa mtu huyo yuko katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) hivyo haruhusiwi mtu kuingia.

“Ni kweli Nice yupo hapa hospitalini ameletwa akiwa hajitambui, ameumizwa vibaya mno hivyo vuta subira kidogo aendelee kupewa matibabu, akipelekwa wodini utaenda kumuona,” alisikika nesi mmoja.

Pamoja na ugumu huo, wanahabari wetu hawakukata tamaa ambapo walijipenyeza ‘kimafia’ hadi hadi ndani ambapo walimkuta Nice amelazwa, hali yake ikiwa ni ya kusikitisha mno.

“Kaka wamenipiga sana, nimeumizwa bila hata sababu yoyote, sijui kosa langu ni nini, hapa nilipo nina maumivu makali kila sehemu ya kiungo cha mwili wangu, kila nikifikiria sijui nimewakosea nini wale jamaa,” alisema Nice kwa taabu.
Hata hivyo, kabla ya kukimbizwa hospitali alipitishwa katika Kituo cha Kijitonyama maarufu kwa jina la Mabatini na kupewa RB yenye namba KJN/RB/2698/014- SHAMBULIO LA KUDHURU MWILI.
Si mara ya kwanza kwa Nice kupigwa na kutolewa ngeu kwani miaka kadhaa iliyopita aliwahi kubondwa mara mbili hadi watu wakahisi amekata kamba (amekufa) kisha akapigwa picha za aibu.

PICHA ZA VURUGU NA SHOW ILIVYOKUA: SHOW YA DAVIDO NEW YORK VURUGU UKUMBI KUJAZA KUPITA KIASI NA MTU MMOJA KUPOTEZA FAHAMU POLISI WAVUNJA SHOW

Davido alizikonga nyoyo za mashabiki wake kabla ya show kufunjwa na polisi wa usalama na wa zimamoto.

Davido afunika mbovu kwenye ukumbi wa Pulse 48 Brooklyn, NY. Ukumbi huu unauwezo wa kuingiza watu zaidi ya Elf 1 lakini ulijaa na kusababisha vurugu na watu kupoteza fahamu kutokana na kukosa hewa. Kiingilio cha show hii kilikuwa ni kuanzia Dollar 40, ukinunua kabla ya show na mlangoni ilikuwa Dollar 60, VIP kwa watu wanne ilikuwa Dollar 650.

Moja ya ugomvi  mkubwa uliotokea kabla ya Davido kupanda jukwaani.
Watu walijaa kupita hadi kukosekani amani ndani ya ukumbi huu licha ya winterwatu walisweat kama punda.
Huu ndiyo umati uliojitokeza katika show hiyo ya Davido ukodak wa Vijimambo kama kawaida ulikuwa live ndani  ukumbi huo.
Nilivutiwa na bango hili  kwenye stage linalomwonesha Diamond kuwa ni mmoja kati ya wanaowania tunzo ya AFRIMMA. Sherehe za kukabizi tunzo hizo zitafanyaka july 26 katika ukumbi wa Eisemann Center  RichardsonDallas, TX


Ugomvi ndani ya ukumbi Vijimambo kama kawaida on point.....!!
Mtu kapoteza fahamu baada ya kuzidiwa na hali ya hewa.





TAZAMA VIPANDE VYA VIDEO WALIYOENDA KUFANYA WASANII MBALIMBALI WA AFRICA AKIWEMO DIAMOND NA AY.

777ed01e98d411e3a0f41253bccf28e0_7
Hivi ni vipande vya video ya wimbo ambao umefanywa na wasanii 22 kutoka Africa ambao walikutana South Africa kwa ajili ya kampeni ya Do Agric ambao ni mradi kutoka One Campaign wimbo huo unaitwa  Cocoa na Chocolate.
Kampeni hiyo ni kwa ajili ya kuhamasisha kilimo kwa vijana na wasanii wamekutana Lagos nchini Nigeria kwa ajili ya uzinduzi wa video hiyo ambao unafanyika leo March 31,zaidi ya wasanii 19 kutoka katika nchi mbali mbali Africa wakiwemo Diamond (Tanzania) D’Bhanji na Femi Kuti (Nigeria), Fally Ipupa (DRC) na wengine wengi.
Video hiyo imekamilika na muda wowote kuanzia leo March 31 itaanza kuonekana kwenye vituo mbalimbali vya televisheni.
Hivi ni vipande vya video hiyo.



HAYA NI MAPATO YALIYOPATIKANA KWENYE MECHI YA SIMBA NA AZAM.

pesaaMechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Azam na Simba iliyochezwa jana Machi 30 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam imeingiza jumla ya sh. 26,455,000,amabyo ilikua na Watazamaji 4,741 walikata tiketi kushuhudia pambano hilo ambapo Azam iliibuka na ushindi wa mabao 2-1.
Viingilio vilikuwa sh. 5,000, sh. 15,000 na sh. 20,000,mgawanyo kwa mapato ulikuwa kama ifuatavyo Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) sh. 4,035,508.47,gharama za kuchapa tiketi sh. 3,908,686 wakati kila klabu ilipata sh. 5,460,687.63,uwanja sh. 2,776,620.83,gharama za mechi sh. 1,665,972.50, Bodi ya Ligi sh. 1,665,972.50.
Mapato mengine yalienda kwenye Mfuko wa Maendeleo ya Mpira wa Miguu (FDF) sh. 832,986.25 na Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) sh. 647,878.19.

credit:millardayo

LAANA...!! MDADA APIGA PICHA ZA NUSU UCHI NA KUZIWEKA MTANDAONI...ZITAZAME HAPA..

KUNA ULAZIMA WA KUONGEZA JUHUDI KATIKA KUTOA ELIMU JUU YA MATUMIZI SAHIHI YA MITANDAO YA KIJAMII HAPA NCHINI TANZANIA. NCHI HII NI MOJA YA NCHI ZINASHOSHIKA NAFASI YA JUU KATIKA MATUMIZI YA MITANDAO HII YA KIJAMII, LAKINI KUNA BAADHI YA WADAU WANAITUMIA VISIVYO FURSA HII KWA KUFANYA VITU VILIVYO KINYUME NA MAADILI KILA KUNAPOKUCHA. TAZAMA PICHA HIZI ZA HUYU MDADA ALIZOZITUPIA MTANDAONI NA WATU PASI NA SHAKA WANATUPIA COMMENTS ZA ETI KUMSIFIA NA KUMUOMBA AVUE NA CHINI WAONE YALIYOMO NDANI YAKE. JIULIZE JAMII INAELEKEA WAPI SASA?!

check hapa >>picha 1<<
check hapa >> picha 2<<

WAKUBWA TU..MWANAMUZIKI CHIPUKIZI WA INJILI APIGA PICHA ZA AIBU KWA AJILI YA KUTAFUTA RIDHIKI....INASIKITISHA SANA ANGALIA MWENYEWE KWA MACHO YAKO..!

  
Hapa inadaiwa ni Guest kwa mujibu wa maelezo yake kwenye mtandao. 

Tangu mtandao huu uwe mstari wa mbela kupiga vita tabia mbaya kwa wasichana mbalimbali kuacha kupiga picha za aibu kwenye jamii na kutoa picha kadhaa kwenye mtanA
Hapa Natasha akiwa na nguo za heshima kwenye jamii.


Kwa mujibu wa chanzo chetu ambacho ni msichana ambae yuko karibu na Natasha anaeishi maeneoya KAWE jijini Dar alisema kuwa picha hizo zimesambaa mitandao na mtu aliyezisambaza ni yeye mwenyewe ambapo ziko nyingine mbaya zaidi ambazo msichana huyo anaonekana kujipapasa sehemu zake nyeti kwa lengo la kuwatia mshawasha wanaume dhaifu.

 KUMRADHI KWA PICHA HII:Natasha akipiga picha za aibu makusudi ili kumtumia mwanaume yeyote atakaevutiwa nae ili amnunua.


KUMRADHI KWA PICHA HII: Hapana Natasha akifanya upuuzi kwa kujipiga picha bila kuogopoa tena kwa hiari yake. 

Saturday, March 29, 2014

PICHA ZINATISHAAAA..!! TAZAMA PICHA ZA VIBAKA WALIYOCHOMWA MOTO BAADA YA KUTUMIWA KUIBA COMPUTER..!!

Watu wawili ambao hawajafahamika majina yao wameuwawa kwa kuchomwa moto  na wananchi wanaozaniwa kuwa na hasira kali  katika kijiji cha Kagongwa wilayani Kahama  Mkoani Shinyanga baada ya kudaiwa kuiba  vitu mbalimbali ikiwemo Komputa.
Tukio hilo limetokea leo  majira ya saa tano asubuhi baada ya watuhumiwa hao kujaribu kuwakimbia viongozi wa Sungusungu waliokuwa wanawashikilia baada ya kuwakamata.
Kwa mujibu wa Mashuhuda wamesema vijana hao walikuwa ni tishio katika mji huo kutokana na kuiba marakwamara hivyo wananchi baada ya kuwakamata wameamua kuwachoma moto kwa madai kuwa iwe ni fundisho kwa  wengine.Wamesema Awali watuhumiwa walikamatwa na sungusungu ya kijiji cha Iponya wilayani humo Kabla ya kuamriwa wakaoneshe vitu hivyo ndipo wakapata mwanya wa kukimbia.Diwani wa kata ya Kagongwa Hamis Kashantole Ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa kata hiyo amekataa kuzungumzia tukio hilo kwa madai kwamba  hana muda wa kuongea.Jeshi la polisi wilayani Kahama limethibitisha kutoikea kwa tukio hilo na hadi sasa  uchungizi Unaendelea .

MKE WA MTU AFUMANIWA NA MWANAUME MWINGINE.....WAPEWA KICHAPO WALAZIMISHWA KUFANYA MAPENZI HADHARANI.

 

Hii ajali imetokea huko Anambra State Nigeria baada ya Mke wa mtu kukamatwa na mumewe live
akifanya mapenzi na bwana wake wa pembeni.

Watu wakaona isiwe tabu wakachukua sheria mkononi na kuwalazimisha waendelee kufanya  mapenzi mbele ya umati wa watu.

AIBU: DENTI WA KIKE MWANACHUO AVULIWA NGUO HOSTEL BAADA YA KUIBA SIMU AINA YA BLACKBERRY

Tamaa zinazidi kuwaponza dada zetu siku hizi, binti mmoja huko nigeria amejikuta matatani baada ya vidume kumsaula nguo zote baada ya kuiba simu ya mwenzake wanaelala nae chumba kimoja,

   mkasa ulianza pale binti alipotafuta simu yake kwa mda wa masaa matatu bila mafanikio ndipo alipowaita wenzake nakuanza kupekua, atimaye wakapata wazo la kuipiga simu hyo ambayo iliita mfukoni mwa mwizi huyo. alipoambiwa apokee mwizi huyo aliruka mita mia mbili ndipo mzozo ulipozidi majirani wakaingia na kuamua kumvua nguo zote na kumuacha mtupu wa mnyama na ndipo simu ilikutwa kwenye nguo ya ndani ya binti huyo.....hii nifundisho kwa wale kina dada wapenda vya bure na tamaa za hapa na pale

AIBUU..MCHUINGAJI ANASWA LIVE NA MKE WA MTU GUEST..JIONEE VIDEO MWENYEWE ILIVYOKUA HAPA...!


Kizaazaa kilishuhudiwa mjini Karatina kaunti ya Nyeri, baada ya kasisi wa kanisa moja kufumaniwa peupe akiwa na mwanamke anayesemekana kuwa mke wa wenyewe ndani ya chumba cha malazi. Kasisi huyo alipatikana na umati wa watu, uliofika hapo

 kushuhudia sinema ya bure. Inadaiwa mchungaji huyo alikuwa na tajriba ya kuendesha ibada yake sio kanisani tu, bali hata kwenye vyumba vya malazi.

                    KUTAZAMA VIDEO  HIYO BOFYA HAPA



VIDEO, WALICHOKIFANYA HAWA WANAWAKE KWENYE TAKSI WAKATI WANARUDI KWENYE PARTY USIKU NI NOMAA

HIVI NDIVYO VYAKULA 10 AMBAVYO MWANAUME ANATAKIWA KULA ILI KUONGEZA UWEZO WAKATI WA TENDO LA NDOA.


CHAZA NA PWEZA
Aina hizi za samaki zinazovuliwa baharini huwa na madini ya zink na chumvi ambayoyanatajwa kusaidia uzalisha wa vichocheo vinavyohamasisha msisimko wa mwili wakati wa tendo la ndoa.

POMEGRANATE

Ni aina fulani ya matunda mekundu yanayofananana na apple. Haya yatajwa kusaidia kuamsha mishipa ya fahamu na kuweka mawasiliano sahihi ya mwili na hivyo kumuongezea mtu uwezo kwa kufanya tendo la ndoa kwa hamasa kubwa.


Tatizo la uwezo wa kufanya tendo la ndoa linazidi kukua miongoni wa wanandoa na wapenzi wengi. Takwimu za kitafiti zinaonyesha kuwa karibu ndoa 4 kati ya 10 zenye umri wa miaka 3 na kuendelea zinakabiliana na tatizo hili. 


Aidha wanaume 6 kati ya 10 wanatajwa kulalamikia upungufu wa nguvu za kiume na kuacha idadi ya wanawake wanaokabiliwa na tatizo hilo kwa mujibu wa uchunguzi kubaki na asilimia 13.




Pamoja na matatizo mengine kutajwa kuchangia upungufu wa nguvu za kiume na kushuka kwa msisimko wa tendo miongoni mwa wanandoa, uchunguzi umeonesha kuwa utumiaji holela wa vyakula hasa vyenye mafuta ni moja kati ya sababu zinazochangia kwa kasi tatizo hili.




Kwa kuzingatia hilo, watafiti wa masuala ya uhusiano wa kimapenzi wamebaini aina kumi ya vyakula ambavyo vina uwezo wa kumuongezea mtu nguvu ya kufanya tendo la ndoa. Vyakula hivyo ni hivi vifuatavyo:




PILIPILI
Pilipili zilizocheshwa zimetajwa kuwa na uwezo wa kusaidia msukumo wa usambazaji damu mwilini, ambao kwa kiasi kikubwa ndiyo unaoweza kumfanya mtu akawa na hisia kali za kimapenzi. Kwa msingi huo, ni vema kwa wale wanaokabiliwa tatizo la uwezo wa kufanya mapenzi wakatumia pilipili si kwa wingi bali kwa kiwango stahili, ili waamshe hisia zao.



PARACHICHI
Aina nyingine ya chakula ambacho husaidia kuongeza uwezo wa mtu kufanya tendo la ndoa ni Parachichi. Tunda hili linauwezo mkubwa wa kuzalisha vitamini E ambayo husaidia katika uzalishaji wa homoni. Inatajwa kuwa watu wanaotumia tunda hili kwa wingi huwana msisimko mkali wa kimapenzi na kwa upande wa wanawake husaidia kuongeza majimaji yenye utelezi sehemu za siri na hivyo kuzuia uwezekano wa kuchubuka wakati wa kujamiiana.




NDIZI
Wakati unafikiria uwezo wa kufanya vema tendo la ndoa unatakiwa kuwaza juu ya uimara wa misuli ya mwili ambayo inatajwa kuwa ni sehemu kuu na yenye muhimu katika kujamiiana. Kwa msingi huo ulaji wa ndizi mbivu unatajwa kusaidia kujenga misuli mwilini na kumfanya mtu aweze kuwa hodari katika tendo la ndoa.



CHOKOLETI
Ulaji wa Chokoleti huongeza uchangamfu mwilini na, hivyo kumuwezesha mtu anayeshiriki tendo la ndoa kuwa na mguso sahihi kwenye fikra zake, jambo litakalomuwezesha kupokea hisia za mapenzi kwa urahisi zaidi ya mtu ambaye anakwenda kwenye uwanja wa sita kwa sita akiwa mchovu wa mawazo.





MVINYO MWEKUNDU
Mvivyo mwenyekundu unatajwa kuwa na uwezo wa kuuchangamsha mwili na kuongeza msukumo wa damu, kiasi cha kumuondolea mtu uchovu kabla na baada ya tendo la ndoa, hivyo ni muhimu kunywewa hasa na wale ambao wanasumbuliwa na tatizo la kushindwa kurudia tendo. 



MBEGU ZA MATUNDA
Mchangayiko wa mbegu mbalimbali za matunda, mfano tikiti, maboga husaidia kuondoa ACID mwilini na kumfanya mtu ajione ni mwenye afya njema.



VANILLA
Vanila husaidia kuamasha hamasa mwili.


Mwisho wa aina hizi za vyakula ni TIKITI MAJI ambalo linatajwa kuwa na virutubisho vingi vyenye uwezo wa kuusaidia mwili kuwa na nguvu za kutosha kufanya tendo la ndoa.