aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, April 1, 2014

HII NDIYO GARI AINA YA HUMMER ANAYOMILIKI WASTARA..????


Kumekuwa na kamtindo ka wasanii wetu hapa TZ kuweka picha ya vitu wanazonunua online na wengine kuweka kwa ajili ya mauzo ili wapate cha kuongelewa na mashabiki wa hapa bongo. Mwanadada anayefanya poa kwnye tasnia ya uigizaji Wastara Juma amewaweka mashabiki wake katika hali ya kutokujua baada ya kuweka picha akiwa ndani ya gari Aina ya HUMMER na kuzua maswali kwa mashabiki wakiuliza ni lake au si lake.

Wapowaliyompa hongera kama gari ni lake na wapo waliyomponda na kusema anatafuta kick.

Wastara akiwa ndani ya hummer