aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Thursday, March 6, 2014

“SIFIKIRII KUOLEWA NA MWANAUME MFUPI” LINAH SANGA AFUNGUKA KIGEZO CHA MWANAUME AMTAKAYE

MWANADADA mwenye sauti tamu kutoka Jumba la Vipaji Tanzania (THT), Esterlina Sanga ‘Linah’ amesema katika maisha yake kamwe hafikirii kuja kuolewa na mwanaume mfupi kwani siyo sampuli yake.clip_image001Akipiga mwandishi wetu hivi karibuni, Linah alisema atakuwa si mkweli akitamka ana mwanaume mfupi kwani hata jamii itamcheka kwa kuwa hata Amini Mwinyimkuu aliyewahi kuwa mpenzi wake ni mfupi.
“Nisiongee uongo kusema eti sipendi kutoka kimapenzi na mwanaume mfupi wakati nilishawahi kufanya hivyo na siwezi kujiapiza katika hilo, ila kwenye swala la ndoa lazima nizingatie kigezo changu muhimu cha kuolewa na mwanaume mrefu,” alisema Linah.