aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, March 17, 2014

BILA MADAWA INAWEZEKANA…ILA KWA STYLE HII NA SI VINGINEVYO

clip_image001Nchi nyingi za kiarabu na nyinginezoya adhabu kifo kwa yeyote aliyekamatwa na Madawa ya kulevya huwa ni kifo Au wakikuhurumia watakufanya hivi.Ukishikwa China, watakupiga risasi mbele za watu,
Ukikamatwa Saudi Arabia, kama mkiwa wengi mtaadhibiwa kwenye kifaa hiki.Kama siku hiyo mpo wachache, au ukiwa peke yako, utamalizana nao kwa style hii. Ukikamatwa Pakistani, utaadhibiwa hivi.
Kwanini u'risk maisha yako? Kijana, fikiria mama yako aliyekuzaa akiona unaishia hivi atasononekaje moyoni mwake?
Ni kweli umeishiwa mbinu za kujipatia kipato kwa njia nyingine halali?
Kijana wa Kitanzania, wewe ni spesho hakuna kama wewe. Hakuna kitu chenye thamani kama maisha yako. Usikubali kuwa punda wa kubebea watu madawa yao ya mabilioni ya pesa kisha wewe  unaambulia pesaya kununulia saloon car (kama ukinusurika kukamatwa) huku wenzako wakipiga pesa ndefu kupitia mgogo wako.
Hebu Badilika na Chagua Njia sahihi ya Kuanza Maisha Salama