aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, March 19, 2014

HUYO NDIO TOP IN DAR, AJIACHIA NA TOTOZ ZA LINDI, CHEZEA LINDI WEWE…..NI NOUMER!!!!

tid mnyamaaaT.I.D Akiwa na fans wake katika mkoa wa lindi alipopiga show ya nguvu ndani ya club moja maarufu mjini hapa aliamua kutokelezea na fans wake hao kama ionekanavyo kwenye picha hapo juu na chini. hiyo ilikuwa kabla ya show wakaona ni vyema kushow love na Mnyamaaaaaa……!!!!!!tid mnyamaaa.2
source:lindi yetu