aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Thursday, March 27, 2014

AKATWA UUME NA KORODANI KWA KOSA LA KUWAONYESHA WATOTO NYETI ZAKE...SOMA ZAIDI HAPA

Mtu mmoja asiye na makazi maalum ajulikanaye kwa jina la utani kama " feijão com arroz " lenye maana ya " wali maharage " ameuawa kikatili na kukatwa uume wake pamoja na korodani katika kijiji cha  Vila Vargas de Teixeira Freitas huko Bahia nchini Brazil.

Shuhuda wa tukio hilo bwana Sejam alieleza kuwa kabla ya siku ya tukio marehemu huyo alikuwa na tabia ya kuonyesha nyeti zake hovyo mitaani na kujihusisha na vitendo vya ubakaji.

Siku ya tukio hilo bwana feijão com arroz aliwaonyesha na kuwagusisha nyeti zake mabinti wa mtaani hapo huku wakazi wa eneo hilo wakikasirishwa na vitendo vyake na kwakuwa walishamuonya siku nyingi kabla ila hakuonekana kuwasikiliza bali aliendeleza tabia hiyo kila siku mtaani hapo.

Wananchi wenye hasira kali walimshambulia kwa mawe na kumuumiza vibaya kwenye maeneo mbalimbali ya mwili wake,huku baadhi ya wananchi walioonyeshwa kukasirishwa zaidi na vitendo vya jamaa huyo wakiondoa sehemu zake za siri kwa zamu (wakati wengine wakiondoa uume,wengine waliondoa korodani).

Polisi nchini Brazil inaendelea na uchunguzi ili kuwajua wauaji huku wakikazia kuwa mauaji hayo yanatokana na kisasi kutokana na vitendo vichafu vilivyokuwa vikifanywa na jamaa huyo kijijini hapo.

PICHA HIZI ZINATISHA: BOFYA HAPA CHINI KUONA PICHA