aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, March 10, 2014

VICTORIA KIMANI AAMUA KUACHIA PICHA ZA TATOO ALIZOJICHORA...!! TAZAMA HAPA...!!

clip_image001Victoria na Henna za mgongoniclip_image001[6]Victoria Kimani ameamua kujipamba na urembo wa Pwani kwa kujichora na tattoo za Henna.
Na muimbaji huyo mrembo wa Kenya aliyetua Dar es Salaam wiki hii kung’arisha uzinduzi wa kipindi cha The Playlist cha Times FM, ameamua kuyaonjesha macho ya followers wake wa Instagram jinsi urembo huo ulivyomtoa chicha, mashalaah.. Safisha macho kwa uumbaji huu wa Mola..clip_image001[8]
clip_image001[10]Wakati huo huo, Ki-Money ameendelea kufanya interview kwenye vituo mbalimbali vya radio nchini. Jana alihojiwa Clouds TV, kwenye XXL ya Clouds FM na Choice na leo alikuwa Times FM.clip_image001[12]Queen Vee akiwa na watangazaji wa Clouds FM, B-Dozen, Adam Mchomvu na DJ Fettyclip_image001[14]Victoria akiwa na watangazaji wa Choice FM, Vanessa Mdee na Mandingo

No comments:

Post a Comment