aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, March 18, 2014

LINAH SANGA: NACHIZIKA NA UPAJA WANGU

AISEEE! Ndege mnana kutoka Jumba la Vipaji Tanzania (THT), Esterlina Sanga ‘Linah’ amefunguka kuwa katika mwili wake hakuna kitu anachokipenda kama miguu yake hususan katika sehemu ya upaja.

Esterlina Sanga ‘Linah’.
 Linah alisema kwa kuwa anapenda sehemu hiyo katika mwili wake, ndiyo maana mara nyingi hupendelea kuvaa nguo zinazoonyesha vizuri miguu yake na jinsi ilivyo mizuri.
Upaja wa Linah.
“Ukweli huwa nachizika na upaja wangu. Napenda sana miguu yangu, ni mizuri ndiyo maana nagonga vimini au mpasuo ili mguu wangu uonekane vizuri,” alisema Linah.