aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, March 11, 2014

HABARI NJEMA KWA MASHABIKI WA INSPEKTA HARUNI ''BABU'' ,NDANI YA DARLIVE TAREHE 16 MWEZI HUU KITANUKISHWA VIBAYA MNO SOMA ZAIDI HAPA

MASHABIKI WANAZI WA INSPECTOR HAROUN BABU TMK KINANUUUKAA TENA NDANI YA KIWANJA CHA NYUMBANI DARLIVE JPILI HII TAR 16/3/2014 ITAKUWA SIKU YA USIKU WA SHARUBU ZA BABU INSPEKTA ANAZINDUA ALBUM,ANATAMBULISHA VIDEO YA MTOTO WA GETI PIA ANAZINDUA NEMBO MPYA YA PAMBA ZA BABU NJOO USHUHUDUE SHOW KALI YA MASAA MAWILI JUU YA JUKWAA ATAKUKUMBUSHIA ENZI ZA GANGWE MOB NA LUTEN KARAMA PIA KUTAKUWA NASHINDANO LAKUMSAKA MREMBO ATAKAECHEZA FILAMU YA GETIKALI USAHILI UTAFANYWA NA KOJACK TOKA JUMBA LA DHAHABU SHOW ITASINDIKIZWA NA DULLAYO,EASY MAN,DOGO MFAUME,TMK WANAUME HALISI NA WENGINEE KIBAOOOO..MNAKARIBISHA WOTE JAMANI,JITOKEZENI KWA WINGI TUMPE SAPOTI JEMBE LETU AKA LEJENDARI..