aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Thursday, March 13, 2014

KWA NINI SISI WANAWAKE/WASICHANA WANENE NA WENYE MAKALIO HATUPATI WAUME WA KUTUOA ? JIBU LIKO HAPA


Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?

1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a)Miili yetu imepitwa na wakati,
(b)Labda wanadhani tutashindwa mechi.


2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a)Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.

NALILETA MEZANI TULIJADILI

No comments:

Post a Comment