aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, March 10, 2014

BREAKING NEWS: MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU MZUMBE AFARIKI DUNIA LEO ASUBUHI BAADA YA KUNYWA SUMU SABABU IKIELEZWA NI BAADA YA KUDISKOHabari zilizotufikia hivi punde zinasema mwanafunzi wa chuo kikuu mzumbe ambaye alikuwa anachukua (MASTERS) Msc.Economics ambae pia ni alikuwa akifanya kazi mkoani dodoma kama afisa mipango wa wilaya ya kondoa amekunywa sumu jana na amefariki dunia leo asubuhi sababu ikielezwa kuwa ni baada ya kupata matokeo na kujikuta ameferi ( amedisko ).