aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, March 18, 2014

BANZA AMLILIA PAPII KOCHA

R.amadhan Masanja 'Banza Stone'


LEGENDARY wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja 'Banza Stone' amefunguka kuwa anamkumbuka Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ kwani alikuwa kama mdogo wake kwenye gemu.

Banza alisema alikuwa akimtazama Papii kama chimbuko la dansi ambalo litaleta mapinduzi hivyo kufungwa kwake kumempotezea ndoto zake.
Johnson Nguza ‘Papii Kocha’.
“Ni majonzi, Papii ni sawa na mdogo wangu, miaka ya nyuma nilianza katika bendi ya baba yake wakati yeye akiwa anasoma, nilimchukua nikaenda kufanya naye kazi TOT, niliona mbali sana kwake…” alisema Banza.
tizama video hapa akiojiwa na mwandishi wa habari wa GPL