aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, March 24, 2014

DIAMOND PLATINUM AFUNGUKA KWA KUSEMA BAADA YA VIJANA WAKE KUPATA WATOTO SASA NI ZAMU YAKE YEYE KUPATA MTOTO


clip_image002

diamondplatnumz Leo tulikuwa tunamtoa mtoto wetu mwingine toka kwa bwana #Moze_Iyobo na bi #Mwengi.... Eeh! Mwenyezi Mungu, wajaalie na hawa vijana wawili walio baki @emma_platnum na@tonser66wamalize haraka nao, ili Mtu mzima sasa nianze kufyatua copy zangu ��.. �������� au mda wangu Bado??