aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, March 15, 2014

HATIMAYE DIAMOND AVUNJA RECORD NA KUSHIKA NAMBA 1 KATIKA CHAT YA AFRICA 10 KATIKA KITUO CHA TRACE NA KUWAMWAGA 2FACE NA DAVIDO..!!


clip_image001Toka nimeanza kufatilia hii chati ya TRACE TV, kituo cha ufaransa ambacho kimeshika hata nchi za Afrika kwa kucheza muziki wenye viwango kutoka kila kona ya dunia, sijawahi kuona msanii wa Afrika Mashariki alieshika nafasi ya kwanza kwenye Top10.
Siku zote nilizoea kuona Wasouth Africa na Wanigeria ndio wanaishika namba 1 ila sasa Mtanzania Diamond ameivunja hiyo rekodi kupitia single yake ya ‘number 1 rmx’ ambayo kamshirikisha Mnigeria DavidoNamba 2 ni Davido – Aye