aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, March 17, 2014

CHEKI PICHA ZA BIRTHDAY PARTY YA LINAH NA MENINA ILIVYOFANA NDANI YA BILLCANAS


clip_image001Msanii Linah anayefanya vizuri katika anga za muziki wa Bongo Flavaakifanya makamuzi kwenye kioata cha Bilicanas siku ya Jumapili March 16, 2014 usiku kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ambayo ni leo March 17, 2014.clip_image001[7]Wadau mbalimbali wakipata ukodak moment kwenye makamuzi yaLinah mwanamuziki anayekimbiza sasa hivi Bongo ndani ya Club Bilicans siku ya Jumapili March 16, 2014.clip_image001[9]Linah (kushoto) akiwa na Menina (wapili toka kulia) wakijiandaa kukata keki kwenye kiota cha Bilicans usiku wa kuamkia leo wote wawili walisherehekea siku zao za kuzaliwa kwa kufanya makamuzi. Menina na mshiriki wa Bongo Star Serch wa 2012.clip_image001[5]Kutoka kushoto ni Menina Msanii BSS 2012, Sundy Gaga msani wa THT anayechipukia na Linah wakipata picha ya pamoja ndani ya club Bilicanas.clip_image001[11]Linah akimlisha keki produza Nashid Zainaclip_image001[13]Kutoka kushoto ni Linah ,Sam Misago Mtangazaji wa  Eat Radio, Menina, Sundy Gaga na Asia msanii wa THT anayechipukia.clip_image001[15]Shadey Mtangaji wa Clouds TV akiwafanyia mahojiano kwenye zulia jekundu wasanii Linah na Menina.