aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, March 19, 2014

AGNESS MASOGANGE KUMBE NI BIBI HARUSI MTARAJIWA, CHEKI PICHA AKICHORWA HINA

clip_image002AGNESS MASOGANGE
Naye mrembo na videoqueen mashuhuri tanzania AGNESS GERALD"masogange" naye hivi majuzi ameonesha picha za tattoo alizojichora na picha nyingine akichorwa kupitia mtandao  huohuo wa instagram huku akijiita "bibi harusi mtarajiwa"
hii imekuja baada ya Mlimbwende kutoka kenya VictoriaKiman kuachia picha zake akiwa na tattoo za aina hii mapajani pia. kama hukuwahi kuziona BOFYA HAPA
Hizi ni baadhi ya Picha zake alizoweka katika akaunti yake hiyo ya Instagram
clip_image002[6]
clip_image002[8]
clip_image002[10]
clip_image002[12]

No comments:

Post a Comment