aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, March 15, 2014

BAADA YA TIMBWILI TIMBWILI WEMA NA DIAMOND SASA MAMBO SHWARI, CHEKI PICHA HAPA


clip_image002Wema ameamua kujibu mapigo hayo baada ya kuachia picha ya mpenzi wake huyo akiwa kitandani na alama ya kiss shavuni na kufuatia na ujumbe huu mzito “Da love of my life…. Dats wat he is…. Our life, our rules…. Sipendi watu wanavyoingilia my love life kabisa…. I am his nd he is mine… dats jus it…. Kama ni mshenzi ndo wangu, tahira wangu, hafai ndo tayari wangu…. Love him jus like dat…. Mapenzi huwa hayaingiliwi hata siku moja…. Nd dey say wapenzi wakigombana chukua jembe ukalime, hawakukosea at all… With all due respect stop ”clip_image001Duh! kweli tuache movie iendelee….tusubiri nini kitafuata.

No comments:

Post a Comment