aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, March 12, 2014

KITUO BORA CHA RADIO CHENYE HAZI YA KIMATAHIFA CHATARAJIWA KUFUNGULIWA HIVI KARIBUNI


clip_image002[8]PETER JOSEPH (KULUTI ARTIST) pichani alifanikiwa kufika  kwenye studio hizo na kujionea vifaa vya mitambo ya studio hiyo ambayo kwa mujibu wa Wajerumani hao Tanzania itakuwa ya kwanza kutumiwa na radio hiyo mpya ya burudani nchini.clip_image002[10]
clip_image002[6]Maandalizi ya ufungaji vifaa vipya vya studio ya kisasaa ya Radio ambayo bado haiwekwa wazi lakini itakuwa inapatikana kwa kwenye masafa ya 93.7 Fm yanaendelea kwa kasi kubwa huku watalaamu toka nchi ya Ujerumani wakihusishwaclip_image002
Hata hivyo habari zaidi zilisema Wajerumani hao ambao sasa wana wiki ya pili wakifanya kazi hiyo usiku na mchana na tayari wako kwenye hatua za mwisho na muda wowote Jiji la Dar na mikoa ya jirani kitanuka vibaya kutokana na kuwaa hewani kwa redio hiyo inayotarajia kusikika mikoa zaidi ya saba kwa mara ya kwanza.
Aidha mmoja wa wadau wa redio hiyo ambae aliomba hifadhi ya jina lake alisema “Kiukweli kwamba hali si swali kwa sasa jiji limeanza kuzizima kwani Serikali kupitia mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imeshatoa baraka zake kwa kituo hicho kurusha matangazo yake na vyombo vyote vya habari vimeshapewa taarifa juu ya ujio wa redio hiyo ya vijana na watu wote” Alisema dada huyo ambae ni Miss Tanzania
Studio hizo zitakazokuwa kwenye mwambao wa fukwe ya Kawe Beach huku mitambo yake ya kurushia matangazo ikiwa kwenye viunga vya milima ya Kisalawe na katikati ya Bahari.

No comments:

Post a Comment