aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Friday, March 28, 2014

NYUMA YA PAZIA NA PICHA ZAKE ZA UTUPU:HATIMAYE YULE VIDEO QUEEN WA KIBONGO ALIYETIKISA MITANDAO KWA PICHA ZA UTUPU ACHEZESHWA FILAMU!


Actress Sapna na Director/Actor Mtunisy wakifanya yao mbele ya Camera.

Msanii mkongwe katika tasnia ya filamu hapa nchini  aamua kuwabadilisha wale walio pinda kuwaweka kwenye filamu baada ya kumchukua sapna yule Video kwin aliyetikisa mitandaoni kwa picha za utupu na
kumchezesha filamu yake hatimaye kukiri kutorudia tena tena vitendo hivyo vya kupiga picha chafu...!!!

Mtunisy akiongea na Website ya Masai Nyotambofu alifunguka kwamba mchakato huo wa kuwabadilisha dada zetu kutoka kwenye tabia zisizoipendeza jamii hautoishia kwenye filamu hiyo bali ataendelea kuwabadilisha siku hadi siku,
Lengo lkiwa ni kuifanya Bongo Movies iwe kimaadili zaidi hasa ya kiafrika na sio vinginevyo, Alisema mtunisy.
 

Kabuti Onyango the best Camera man akiwa location na Mtoto Sapna yani harakati za kushoot..


<<BONYA HAPA KUANGALIA PICHA ZAKE ZA UTUPU>>  

No comments:

Post a Comment