aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, March 5, 2014

RAIS MUGABE AMZAWADIA BINTI YAKE $100,000 NA NGOMBE 55 KAMA ZAWADI YA HARUSI YAKE

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe mnamo siku ya Jumamosi Ametoa zawadi kwenye harusi ya mtoto wake wa kike na mumewe kiasi cha $100,000 na ng'ombe 55, imeelezwa.clip_image001Binti wa Rais huyo aitwaye Bona mwenye miaka 24 na mume wake, Simbarashe Chikore, walifunga pingu za maisha mnamo siku ya Jumamosi kwenye harusi moja ya kipekee iliyofanyika kwenye makazi wanayoishi ndani ya Harare.