aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, March 8, 2014

CHIPUKIZI MSIOGOPE KUTONGOZWA- DAYNAMKALI wa wimbo wa Mafungu ya Nyanya, Mwanaisha Said ‘Dyana’ amewataka wasanii wa kike chipukizi kuacha kuogopa kutongozwa kwani uamuzi unabaki kuwa kwao.
Mwanaisha Said Nyange ‘Dayna’.

“Namshukuru Mungu mpaka hapa nilipofikia. Vikwanzo ni vingi hususan kwa waimbaji wa kike lakini nawashangaa wale ambao wanakata tamaa ya kuendelea kuimba kisa kutongozwa. Wasiogope,” alisema Dayna ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wa Mimi na Wewe.