aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, February 2, 2014

MSHAMBULIAJI WA ZAMANI WA YANGA AUWAWA, ATUPWA JANGWANI

CHANGA (WA TATU KUSHOTO MSTARI WA NYUMA) ALIPOKUWA AKIKIPIGA JKT RUVU.

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Omary Changa amefariki dunia
Taarifa hizo zimethibitishwa na baba yake mzazi aliyejitambulisha kwa jina la Idd Changa.

“Ni kweli, tumepewa taarifa leo jioni kwamba Omary aliokotwa kwenye eneo la Jangwani na mwili wake una kovu sehemu ya usoni karibu na jicho.
“Bado hatujajua hasa tatizo nini na kesho nimetakiwa kwenda Polisi ambako nitapata uhakika kwamba nini kilitokea
“Wengine wanasema alinyongwa, wengine wanasema amepata ajali ya bodaboda, sasa tunakuwa hatuelewi hasa tatizo ni nini?”