aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, February 26, 2014

Slaa adai kuwa Kiongozi anayetaka kuondoka CHADEMA milango iko wazi …..Asema hata wakibaki watatu, chama HAKITAKUFA

Dr. Slaa

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema kuwa mbunge au diwani anayetaka kuondoka CHADEMA milango iko wazi, kwa sababu hawawezi kumvumilia kiongozi msaliti wa chama.
 
Alitoa msimamo huo jana wakati akimnadi mgombea ubunge wa CHADEMAjimboni Kalenga, Grace Tendega, katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa mnadani, Kijiji cha Kidamali, Kata ya Nzihi huku akisisitiza kuwa   hata  wakibaki  watatu  tu  ndani  ya  chama, Chadema  haitakufa  na  kwamba  wameridhia kujiuzulu kwa madiwani wao wawili mkoani Shinyanga.
slaa
Dk. Slaa
 
Alisema kujiuzulu kwao ni mpango maalumu uliotengenezwa na wapinzani wao kisiasa kwa lengo la kuwadhoofisha na kuwavuruga

No comments:

Post a Comment