aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, February 2, 2014

Usiku wa Jana Triple A Club Pande za Arusha Katika Show Ya Wema,kajala na Aunt Ezekiel

IMG-20140202-WA0012
Hii ilikuwa usiku wa jana tarehe 1 pale Triple A Club iliyopo pande za Arusha, ilikuwa ni show ya Ma divas ambapo walikuwepo kama Wema Sepetu, Kajala, Aunt Ezekiel pamoja na Jokate ambaye hakuwepo kwenye banners. Mara wakazi wa Arusha ndipo walipoanza kupiga shangwe pale Jokate alipoanza kumwagia mijihela mwanadada Wema stejini huku DJ akiwapigia wimbo wa Diamond unaoitwa My Number One.
 IMG-20140202-WA0008
IMG-20140202-WA0009IMG-20140202-WA0011