aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, February 12, 2014

Msanii Mkongwe wa Bongo Muvi 'TITTO' Apata Ajali Mbaya...!!

MSANII huyu maarufu na mkongwe katika tasnia ya filamu hapa nchini ambaye wengi walianzia kumtambua pale Kaole katika Tamthilia zilizotikisa Tanzania na vitongoji vyake,
 

Nguli huyo wa filamu alifunguka kuwa ajali hiyo ilitokea mnamo siku ya Ijumaa Frebruari 7 Mwaka Huu usiku majira ya saa tano na nusu,
 
Alisema kuwa chanzo cha ajali hiyo ni tuta lililowekwa barabarani bila alama yeyote au kiashiria cha kuonyesha kuwa eneo hilo kuna tuta kwahio dereva upunguze mwendo.
 
Alikuwa akitokea kigogo sambusa kuelekea kinondoni kufika maeneo ya kigogo lutihinda mkabala na Shule ya Msingi Lutihinda Primary School alishangaa ghafla amedunda kwenye tuta na kupaa hewani kutua chini akashindwa kuizuia pikipiki ikamgaragaza kwa bahati nzuri mungu mkubwa kwakweli aliumia lakini hakuvunjika popote zaidi ya kuchubuka mikononi na miguuni.
 

'Tito ZimbweActor Bongo Movie's Tanzania

Maranyingi msanii huyo hutumia gari lakini sikuhio aliamua kutoka na pikipiki kumfuata rafiki yake mpendwa Beni Branco mzee wa Vituko Vituko aliyekuwa swaiba sana wa marehemu Steven Kanumba, Ajali hiyo ikawa mwisho wa safari ya kwenda kumsalimu Beni Branco.
 

 
Mpaka sasa 'Tito Zimbweyupo Kinondoni katika Hospitali ya Private ya Doctor Mvungi. Anaendelea na matibabu, Hali yake ni nzuri kwa mujibu wa yeye mwenyewe
 

 
 
Shemejietu (Mkewe) kushoto akimliwaza kaka Tito Zimbwe 
usijali shemeji mzee atapona sisi ndugu zake
 
Hali ya mgonjwa kidogo inaridhisha..! Ha ha haaa.. Mpaka anatasabamu?''

 
HUYO hapo kulia ndio Beny Branco rafiki yake Tito Zimbwe na wa katikati ni Director Faridu uwezo kushoto anaepewa glass ya naniliu ni mgonjwa mwenyewe..!

 Du! Beny ana visa! Hadi Hospitali?.. Beny umepinda Chaliangu... We ni kwere arifff...