aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Friday, February 7, 2014

PICHA:VIJANA WANASWA WAKIJISAIDIA KWENYE MASINKI YA KUNAWIA KATIKA UWANJA WETU MPYA WA TAIFA JIJINI DAR



Pichani juu ni baadhi ya wadau wa Soka waliokutwa hivi karibuni wakijisaidia kwenye masinki ya kunawia mikono kama waonekanavyo pichani.
Hapa baada ya kumaliza shughuli yao haoo wakaondoka,je wahusika wanalichukuliaje jambo hili lisilo la kiungwana kabisa ndani ya uwanja wa wetu wa mpira,ambao umejengwa kwa gharama kubwa,lakini kuna baadhi ya watu kama hawa wamekuwa wakiharibu maeneo na vifaa mbalimbali ya uwanja huo ikiwemo na kugeuza matumizi yake.

No comments:

Post a Comment