aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, February 23, 2014

SHILOLE AWASHANGAA WASICHANA WASIOPENDA KUVAA NGUO ZA NDANI.

STAA wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa huwa anawashangaa wasichana wasiopenda kujisitiri kwa kuvaa nguo za ndani ‘makufuli’.

Zuwena Mohamed ‘Shilole’

Akistorisha na paparazi wetu, Shilole alisema katika maisha yake anapenda sana kujisitiri kwa kuvaa nguo ya ndani hivyo anawashangaa wasanii wanaotembea bila kuvaa nguo hiyo huku wengine wakidai wakizivaa wanahisi kuwashwa kwa joto.

“Napenda sana kuvaa ‘kufuli’ na huwa ninapata shida sana kutokana na wasichana tena mastaa ambao hawavai eti wana aleji nazo, unajua mwanamke lazima ujisitiri, siwezi kutoka nyumbani bila kuvaa nguo yandani,” alisema Shilole.

No comments:

Post a Comment