aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, February 11, 2014

MFAHAMU MSICHANA ALIYENUNULIWA GARI NA KUPEWA NA MSANII NEY WA MITEGO...!! TAZAMA PICHA HAPA.

2a6e0bd8cd6811e2900c22000a1fb715_7

Mambo sio mabaya kwa msanii Ney wa Mitego kwa Mwaka hu mpya wa 2014 kwa kile alichokifanya hasa kwa Mpenzi wake kueleka katika kusheherekea siku ya wapendanao Duniani,
Kuelekea katika siku ya wapendanao ambapo zimebakia siku 5 ili kufikia ile siku ya wapendanao Dunaini Ney wa Mitego ameamua kumnunulia mpenzi wake usafiri ili kumuwezesha mpenzi wake huyo kutopata tabu katika misafara yake ya kila siku.
f474ded6d26b11e2a03b22000a1f92d6_7

 Kupitia instagram Ney wa mitego amepost picha ya gari alilomnunulia mpenzi wake na kuandika maneno haya ‘Zic iz 4u bby…zawadi yako my superwomen…chama kubwa 966 Mwezi wa 7 ntakununulia prado sawa?! Hahaha kaa Umooooo @truegal966 ‘




Hii ndiyo gari aliyonunua Ney wa Mitego

 

No comments:

Post a Comment