aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Thursday, February 6, 2014

MOYO WA KALA JEREMIAH WATESWA NA MSANII WA BONGO MOVIES..!! NI BAADA YA KUZIONA PICHA ZA NUSU UTUPU ZA MSANII HUYO..!! TAZAMA PICHA HIZO HAPA.


MSANII kutoka jiji la Mwanza ambaye alipata umaarufu kupitia Shindano la BSS amevunja ukimya na kusema mambo mengi juu ya Msanii wa Filamu ambaye wanatoka wote jiji moja la Mwanza ambaye anajulikana kwa jina la Suzane Michael. 


Kala alifunguka hayo na kusema kuwa "Nawashangaa sana hawa madada zetu yani wao wanaona kujiachia ndiyo wataishi mjini, huyu dada mimi namfanhamu na sikutegemea kama ataweza kupiga picha za hivi na kuziweka mtandaoni yani kwa hiki kitendo ameuvuruga moyo wangu na kuuchafua kabisaaaa" alisema Kala  


Mwanadada Suzane Michael

Hata ivyo kala alizidi kuongeza "Unajua kule kwetu Mwanza mtoto wa kike anajiheshimu sana na ndiyo maana wanazidi kupendeza ila wakija Dar tu kila kitu kinakuwa nyuma mbele mbele nyuma." aliongezea, 
 

Suzane Michael

Mwandishi wetu aliamua kuvunja ukimya na kuanza kumtafuta mrembo huyu (Suzane Michael) wa Bongo movies ambaye picha zake za nusu utupu zimezagaa mtandaoni ili aweze kufunguka juu ya suala hili lakini bahati haikuwa yetu kwani kila tulipojaribu kumpigia simu yake haikuweza kupatikana na hata tulivyofika nyumbani kwake maeneo ya Sinza tuliambiwa amesafili kaenda kwenye shughuri za sanaa.

Suzane Michael na vazi la kutokea
 Mwandishi wetu hakukata tamaa ndipo alipompata rafiki wa karibu wa msanii huyu ambaye hakutaka jina lake litajwe na akaamua kufunguka na kusema "Hizo picha ni chache sana tena sana na kama Kala kasema ni mbaya basi kakosea kwani Suzane anapicha mbaya zaidi hata ya hizo hapo na kama unataka nitakupa uzione yani hata sisi huwa tunamshangaa yani hata mavazi yake ya mtaani hayana maadili kabisaa yani anaonekana kama yupo uchi tu" alisema rafiki huyo
mmMHHH.....
 Mwandishi wetu alipata bahati ya kuziona hizo picha na kusema hazifai kabisa katika jamii ila akatoa ahadi ataziachia ili kuonyesha madudu yanayofanywa na wasanii wetu wa Bongo Movies.