aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, February 5, 2014

"SIKOMI NA SITOACHA KUTEMBEA NA WAUME ZA WATU MAANA HATA SHERIA YA DINI INANIRUHUSU KUOLEWA NA MUME WA MTU" RAYUU

SANII kinda kwenye tasnia ya filamu Bongo, Rahma Bagenzi ‘Rayuu’ amesema kuwa, kamwe hatokoma kutembea na waume za watu kwa kuwa sheria ya dini yake ya Kiislamu inamruhusu kuolewa na mume wa mtu. 

 
 
Rahma Bagenzi ‘Rayuu’.
 
Akipiga stori na paparazi wetu, Rayuu alisema kipindi cha nyuma aliwahi kutoka kimapenzi na mume wa mtu (hakumtaja jina) na kufikia hatua ya kufikishwa polisi na mwenye mke lakini haimaanishi kuwa hatatembea tena na mume wa mtu.
 
“Nikila kiapo cha kutotembea na waume za watu nitakuwa naongopa, kwanza dini yetu imeruhusu ndoa za uke wenza huenda  Mungu kaniandikia niolewe ndoa ya aina hiyo sina uwezo wa kupingana naye,” alisema Rayuu